- 256 viewsHenry Kissinger, aliyefariki Jumatano akiwa na umri wa miaka 100, alitengeneza sera ya binafsi ya mambo ya nje ya Marekani wakati wa uongozi wa Nixon na Ford, alihudumu katika wadhifa wa waziri wa mambo ya nje chini ya marais wote wawili na kukaribisha kumiminiwa sifa kwa mafanikio yake ya kidiplomasia na malumbano kwa kuanzisha maoni ya kisiasa ya ulimwengu. Kifo cha kilitangazwa na kampuni yake ya ushauri na hakuna sababu iliyotolewa. Alijulikana kwa kuwa msomi, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel na mkimbizi maarufu aliyekuja Marekani, Kissinger alikuja kuwa ni mfano wa utamaduni, akihamasisha kuandikwa wasifu kadhaa, unaopendelewa na usiopendelewa, na kukashifiwa na mifano kama ya Monty Python. Mwanafikra Mconservative alisaidia kuanzisha diplomasia kadhaa zilizofanikiwa, ikiwemo kufikia maelewano na China na kupunguza mivutano na Umoja wa Sovieti. Alipewa Tuzo ya Amani ya Nobel pamoja na Le Duc Tho wa Vietnam Kaskazini kwa juhudi zao za kuendesha mazungumzo yaliyomaliza Vita vya Vietnam. (VOA) #HenryKissinger #Kissinger #US #China #Nixon #Vietnam
Henry Kissinger aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu chini ya Nixon afariki
- 16 Aug 2025 - President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
- 16 Aug 2025 - The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
- 16 Aug 2025 - The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
- 16 Aug 2025 - Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
- 16 Aug 2025 - The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
- 16 Aug 2025 - Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
- 16 Aug 2025 - He described the voting process as irregular and predetermined.
- 16 Aug 2025 - Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
- 16 Aug 2025 - Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
- 16 Aug 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.