Hifadhi ya wanyama ya Kitiriwa Amboseli yapata vifaa

  • | Citizen TV
    295 views

    Shuguli za uhifadhi wa wanyapori katika hifadhi ya kijamii ya kitiriwa iliyoko amboseli kajiado kusini zimepigwa jeki baada ya hifadhi hiyo kupewa msaada ya vifaa na shirika la wwf-kenya.