Hisani za Cadbury kwa wateja katika msimu huu Krismasi

  • | NTV Video
    96 views

    Cadbury ni kampuni maarufu ya kutengeneza chocolate na biskuti, iliyoanzishwa mwaka 1824 Kampuni hii imejulikana kwa bidhaa zake nyingi, ikiwa ni pamoja na biskuti, na vinywaji vya chocolate . Cadbury pia inajulikana kwa kuwa na mtazamo wa kijamii, ikifanya kazi katika miradi ya kijamii na kusaidia jamii mbalimbali. Katika msimu huu wa krismasi Cadbury wameanzisha kampeni ya kutoa hisani kwa wateja wake.Fridah mwaka anaeleza

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya