Hisia mseto kuhusu pendekezo la seneta Cherargei la kuongeza hatamu ya Rais

  • | K24 Video
    76 views

    Seneta wa Nandi Samson Cherargei bado anashikilia kuwa pendekezo la kuongeza muda wa kuhudumu kwa rais kutoka miaka mitano hadi miaka saba linapaswa kukumbatiwa na kamati ya mazungumzo ya Bomas licha ya pendekezo lake kutupwa na chama tawala cha uda na kupigwa vijembe na viongozi wa pande zote mbili. Sasa seneta Cherargei anasema pia wapo baadhi ya magavana haswa wa muhula wa pili wanaotaka muda wa kuongoza kaunti uongezwe hadi miaka saba. Seneta huyo wa nandi ametupilia mbali madai kuwa anajaribu kukarabati uhusiano na rais William Ruto ambao unadaiwa kuingia doa