Hisia mseto zagubika hatua ya TSC kumwongeza muda wa kuhudumu afisa mkuu wake Nancy Macharia

  • | KBC Video
    Hatua ya tume ya kuwajiri walimu TSC ya kumwongeza muda wa kuhudumu afisa mkuu wake Nancy Macharia inaendelea kuzua hisia mseto. Huku chama cha mawakili na vuguvugu lingine zikipinga awamu ya pili ya kuhudumu kwa afisa huyo zikitaja hatua hiyo kama kinyume na katibu, wadau wengine kama vile chama cha walimu KNUT na kile cha walimu wa taasisi za elimu kwa watu wanaoishi na ulemavu wameunga mkono nyongeza ya muda wa kuhudumu kwa afisa huyo na kushtumu kile walichokitaja kuwa kuingiliwa kwa shughuli za tume hiyo. Serfine Achieng Ouma na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive