Hisia za wakenya kuhusu hatua ya Rais Ruto

  • | Citizen TV
    5,562 views

    Wakenya wametoa hisia mbalimbali kuhusiana na hatua ya Rais William Ruto kuwafuta kazi mawaziri wake wote alipovunja baraza la mawaziri. Wakenya wengi wakipongeza hatua hiyo wakiitaja kuwa yenye ujasiri na hekima kwa wakati huu, ambapo Kenya imeendelea kukumbwa na maandamano ya vijana wanaotaka uongozi bora. Hebu tusikilize baadhi ya maoni haya