Hisia zatanda mahakamani huku jaji Jessie Lessit akitangaza hukumu ya waliomuua wakili Willie Kimani

  • | Citizen TV
    8,501 views

    Hisia zilitanda mahakamani pale jaji Jessie Lessit alitangaza hukumu ya maafisa watatu wa polisi na raia mmoja wanaotuhumiw akumuua wakili Willie Kimani na watu wengine wawili .