Hisia zimetanda katika kijiji cha Kapsindet eneo la Ang'ata Barikoi, Transmara

  • | Citizen TV
    286 views

    Watu hao waliojihami walimpiga risasi mwanamume mmoja na kisha kutoroka na takriban mifugo wake 30. Hata hivyo, mifugo hao waliregeshwa kwa ushirikiano wa maafisa wa usalama. Wakaazi wakitaka.