Historia ya baba aliefiwa mtoto mwaka 2000 yajirudia Gaza na

  • | BBC Swahili
    1,666 views
    Baba aliyefiwa na mtoto wake mwaka wa 2000 apoteza tena ndugu zake katika shambulio la Israel Jamal al-Durrah alijulikana kwa mara ya kwanza duniani wakati mtoto wake, Muhammad, 12, alipouawa katika intifada ya pili ya Palestina (machafuko) huko Gaza mwaka wa 2000. Tukio hilo lilinaswa kwenye kamera na kifo cha mvulana huyo kikawa ishara ya machafuko hayo. Jamal al-Durrah sasa anaomboleza vifo vya jamaa wengi zaidi baada ya shambulio la anga la Israel kupiga nyumba ya familia yake huko Gaza wiki hii. #bbcswahili #Isrel #Gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw