Historia ya mkahawa huko Baragoi alikolala hayati rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi.

  • | Citizen TV
    32 views

    Licha ya eneo la Baragoi Samburu kaskazini kufahamika kwa makovu ya ujangili wa wizi wa mifugo, eneo hilo pia linaaminika kuwa na Mkahawa alikolala hayati rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi. Kwenye Mwenge wa Kaunti juma hili Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaangazia hadhi ya Mkahawa wa Lakira unaopatikana Baragoi.