Hofu imeibuka Lodwar kufuatia mzozo kati ya polisi na maafisa KDF

  • | Citizen TV
    5,019 views

    Hofu imeibuka eneo la Lodwar kaunti ya Turkana kufuatia mzozo kati ya maafisa wa polisi na wenzao wa kijeshi. Hii ni baada ya maafisa wa jeshi kudaiwa kumshambulia na kumpiga afisa wa polisi siku tano zilizopita. Sasa wito umetolewa kwa mawaziri wa usalama na ulinzi kuingilia kati swala hili.