Hofu kwa wazazi huku mgomo wa walimu wa sekondari msingi ukiendelea

  • | Citizen TV
    658 views

    Masomo Yanazidi Kutatizika Pakubwa Katika Shule Za Sekondari Msingi Nchini Kufuatia Mgomo Wa Walimu Wa Jss Ulioingia Wiki Ya Tatu. Na Kama Anavyoripoti Mwanahabari Wetu Chrispine Otieno Walimu Hao Wa Jss Wameapa Kutorejea Kazini Hadi Watakapoajiriwa Na Serikali Badala Ya Kupewa Kandarasi Ya Muda Mfupi..