Hofu na huzuni baada ya mlipuko wa hospitali ya Gaza

  • | BBC Swahili
    5,628 views
    Mamia ya watu wameuawa katika shambulio la hospitali ya Al-Ahli katika mji wa Gaza. Hamas inasema shambulio hilo lilitekelezwa na Israel, lakini jeshi la Israel linasema shambulio limetokana na kombora lililoshindwa lililorushwa na wanamgambo wa kundi la Islamic Jihad. #bbcswahili #Israeli #Palestinians Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw