Hofu ya ongezeko la watu nchini

  • | Citizen TV
    297 views

    Idadi ya watu humu nchini inazidi kuongezeka huku serikali ikisema kuwa watoto zaidi ya milioni moja huzaliwa kila mwaka. serikali inaonya kuwa huenda idadi hiyo ikapita viwango ikilinganishwa na miundomisingi na raslimali zilizoko nchini iwapo watu hawatapanga uzazi.