- 3,660 viewsDuration: 3:52Wakazi wa eneo la Thogoto huko Kikuyu wanaishi kwa hofu kutokana na kuongezeka kwa visa vya utovu wa usalama. Kisa cha hivi punde kikiwa cha mwanamme wa miaka 30 aliyepatikana amefariki kando ya barabara huku mwanafunzi wa chuo kikuu akiuguzwa majeraha baada ya kuvamiwa na magenge eneo hilo.