Hofu yatanda kaunti ya Nakuru baada ya maeneo tofaauti kuzama na kusalia mashimo

  • | K24 Video
    280 views

    Hofu imetanda katika kaunti ya Nakuru huku baadhi ya maeneo yakizama na kusalia mashimo. Taswira hiyo imetokana na mvua inayoendelea. sasa, baadhi ya wakazi huenda wakalala nje kwa siku ya pili mfululizo baada ya nyumba zao kuzama jana na nyingine kuharibiwa na maji. Hali hiyo imewafanya wazazi huko waingiwe na wasiwasi kuhusiana na usalama wa wana wao shule zitakapofuguliwa Jumatatu