Hofu yatanda kisiwani Pate baada ya kisima cha gesi kufukuliwa

  • | Citizen TV
    957 views

    Wakazi wa kisiwa cha Pate wanahofia janga baada ya Kisima cha Gesi kilichofukuliwa na kisha kufunikwa baada ya gesi kukosekana katika kijiji cha Siyu kuanza kufurika gesi. Wakaazi hao wanalalamikia harufu ya gesi, kufariki kwa mimea na mifugo wao na nyufa ambazo zinaanza kuonekana kwenye kisima hicho.