Hoja nyingine ya kumbandua Kawira Mwangaza yawasilishwa katika bunge la Meru

  • | KBC Video
    14 views

    Hoja nyingine inayolenga kumbandua gavana wa Meru Kawira Mwangaza imewasilishwa katika bunge la kaunti ya Meru Hoja hiyo imewasilishwa na mwakilishi wadi maalum Ziporah Kinya ambaye anamshtumu gavana Mwangaza kwa ubadhirifu wa fedha za serikali ya kaunti hiyo na utumizi mbaya wa mamlaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive