Hoja ya kumbandua Waiguru mamlakani yawasilishwa rasmi

  • | Citizen TV
    Hoja ya kumbandua mamlakani gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru umewasilishwa rasmi katika bunge la kaunti hiyo hii leo. Mswada huo unamtaka gavana ang'atuke kwa msingi wa matuimizi mabaya ya mamlaka.