Homa Bay yaongoza katika usimamizi wa fedha za umma

  • | KBC Video
    10 views

    Kaunti ya Homa Bay imeorodheshwa kifua mbele kwenye utumizi na usimamizi wa fedha za mwaka katika kipindi cha kifedha cha mwaka-2023/2024 ikiwa na asilimia-82. Kwa mujibu wa uchunguzi wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya Politrack Africa, kaunti ya Lamu inashikilia mkia ikiwa na asilimia-32. Uchunguzi huo ulifanywa katika kaunti zote-47 kati ya tarehe 23 na 27 mwezi huu. Fredrick Parsayo na taslifu kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive