Hali ya kiafya ya kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis imeibua wasiwasi miongoni mwa waumini wa Kanisa hilo na baadhi ya watu wengine ulimwenguni baada ya kuelezewa na Vatican kuwa ''si nzuri'' kutokana kuugua ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) katika mapafu yake yote mawili.
-
Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88 amekuwa akipitia maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya wiki moja na amekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Gemelli huko Roma.
Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kiafya linalomsumbua?
-
-
#bbcswahili #papá #Afya #vatcan #kanisakatoliki #mapafuSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
1 May 2025
- US President Donald Trump said on Wednesday that Tesla boss Elon Musk could stay working for the White House as long as he wanted but understood the tycoon wanted to get back to his businesses.
1 May 2025
- India's human rights body said Thursday it was investigating reports more than 100 children fell sick after eating a school lunch served after a dead snake was found in the food.
1 May 2025
- If the next pope is from sub-Saharan Africa, he would be the first in Catholic Church history. Catholic Africans think it is a long shot, though some are cautiously optimistic that Pope Francis’ successor could be a Black cardinal from their continent.
1 May 2025
- A confident President William Ruto reiterated that he will not cower from taking the unpopular leadership route to secure development for Kenyans.
1 May 2025
- Central Organisation of Trade Unions (COTU) Secretary General Francis Atwoli has called on the government to remodel the tax deductions architecture to favour Kenyan workers.
1 May 2025
- A woman has been charged with forgery and making false documents in a protracted legal dispute over a parcel of land near Moi Barracks in Eldoret, Uasin Gishu County.