Hon.Mumo : Ukiwa mlemavu na umetoka kwa familia ambayo haina mapato, kupata elimu inakuwa shida

  • | KBC Video
    8 views

    Hon.Mumo Rose, Makueni County MP : Ajira imekuwa changa moto kwa watu walio na ulemavu. Ukiwa mlemavu na umetoka kwa familia ambayo haina mapato vizuri, kupata elimu inakuwa shida. Watoto wengi wa kike wanaobakwa ni wale walio na ulemavu.