Skip to main content
Skip to main content

Hospitali ya Bomachoge Chache yafungwa ghafla baada ya vurugu kufuatia kifo cha mama hospitalini

  • | Citizen TV
    2,269 views
    Duration: 3:25
    Hospitali ya Kenyenya iliyoko Bomachoge Chache kaunti ya Kisii imefungwa ghafla kufuatia vurugu zilizoshuhudiwa katika hospitali hiyo. Wakaazi wenye ghadhabu walitaka kujua chanzo cha kifo cha mama mmoja aliyefika hospitalini kujifungua na kuaga dunia muda mfupi baadaye. Maafisa wa polisi walilazimika kufyatua risasi hewani kuwatawanya mamia ya wakazi waliokuwa wakizua rabsha. Muungano wa wahudumu wa afya umewaondoa wafanyikazi wake hospitalini hump baada ya baadhi yao kupigwa..