Hospitali ya Chiromo Braeside yafungwa kufuatia kifo cha daktari Susan Njoki

  • | NTV Video
    259 views

    Kufuatia kifo cha daktari, Susan Kamengere Njoki, mwanzilishi wa Toto Touch Baraza la Madaktari na Madaktari wa Meno nchini – KMPDC – jana liliagiza Hospitali ya Chiromo Braeside saa 24 kuhamisha wagonjwa wote na kusitisha huduma zote za matibabu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya