Hospitali ya Kapkatet inawasaka jamaa zake kijana wa miaka 17

  • | Citizen TV
    266 views

    Hospitali ya Kapkatet katika eneobunge la Bureti imetoa wito kwa umma kuisaidia kuwatambua au kuwatafuta jamaa za mvulana mwenye umri wa miaka 17 ambaye amekuwa akipokea matibabu hospitalini humo kwa takriban miezi tisa