Hospitali ya Kitengela yatumia mfumo mpya wa kidijitali

  • | Citizen TV
    116 views

    Sekta ya afya Nchini imekuwa mbioni kukumbatia technolojia ya kisasa sawa na mifumo ya kidijitali kwa lengo la kuimairisha huduma za matibabu. moja wapo ya Mifumo hiyo ni ule wa kidijitali unaofahamika kama Afya K.E . mfumo huo umekuwa ukifanyiwa majaribio na wizara ya afya katika hospitali ya Kitengela kaunti ya Kajiado na ile ya chuo kikuu cha Nairobi na kurahisisha utoaji wa huduma