10 Oct 2025 1:49 pm | Citizen TV 408 views Duration: 1:32 Hospitali ya mama Lucy Kibaki imeanza ujenzi wa wodi maalum ya watoto wachanga yenye vitanda 53, inayolenga kupunguza msongamano na kuboresha huduma za afya ya kina mama na watoto wachanga jijini Nairobi.