Hospitali ya Mama Lucy Kibaki yaripoti kutokuwa na vifo vya kina mama wanapojifungua

  • | K24 Video
    56 views

    Hospitali ya Mama Lucy Kibaki imeripoti kutokuwa na vifo vya kina mama wanapojifungua ndani ya miezi minne iliyopita. Mafanikio hayo yameafikiwa kupitia kufanyikia mabadiliko vifaa vya matibabu na kuleta vifaa vya kisasa, pamoja na kuhakikisha akina mama wanazingatia kutembelea kliniki ipasavyo