Hospitali ya Mashuuru kaunti ya kajiado imepandishwa hadhi

  • | Citizen TV
    859 views

    Hospitali ya Mashuuru iliyoko Kajiado Mashariki imepandishwa hadhi na kuwa katika ngazi ya Level 4. Hali hiyo inatarajiwa kuimarisha huduma na kuwapunguzia wenyeji mahangaiko ya kusafiri mwendo mrefu kutafuta matibabu.Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku amesema huduma katika hospitali zilizoko kwenye kaunti zote ndogo ili kuzuia msongamano wa wagonjwa.