Hospitali ya Mukumu imefungwa kwa siku tatu baada ya mgomo wa wafanyikazi

  • | West TV
    88 views
    Hospitali ya misheni ya mukumu imefungwa kwa siku tatu kutafuta suluhu ya mgomo wa wafanyikazi ulioanza mapema leo wanaodai mishahara yao ya miezi tano na kuboreshwa kwa mazingira ya kazi hospitalini humo.