Hospitali ya Pumwani yalenga kusitisha vifo wakati wa kujifungua

  • | K24 Video
    32 views

    Hospitali ya Pumwani, chini ya usimamizi mpya kwa muda wa miezi minane iliyopita, imejitolea kuimarisha huduma zake kwa wanawake wakati wa kujifungua, mno kwa kuifunza jamii jinsi ya kuzingatia afya bora wakati wa ujauzito. Rasilimali, watu na idadi ya vitanda imekuwa changamoto kuu katika hospitali hiyo, kwa sasa watoto wasiopungua 1,600 huzaliwa katika hospitali ya Pumwani kila mwezi.