Hospitali ya rufaa ya KUTRRH yawafuta madaktari

  • | Citizen TV
    1,583 views

    Hospitali ya rufaa ya chuo kikuu cha Kenyatta imeanza kuwaadhibu madaktari wanaoshiriki mgomo unaoendelea.. Taasisi hiyo imesema imetuma barua za kuwasimamisha kazi madaktari hao huku ikiwaajiri wengine ambao watatoa huduma kwa wagonjwa.. Hatua hiyo imejiri huku madaktari wakiendelea na mgomo wao kwa kushiriki maandamano jijini Nairobi. Aidha wameahidi maandamano mengine wiki ijayo ili kuishinikiza serikali kuwasikiza.