Hospitali ya rufaa ya Nakuru yapokea vifaa vya kupambana na ugonjwa wa COVID-19

  • | Citizen TV
    Hospitali ya rufaa ya Nakuru kwa awamu ya tatu sasa imepokea msaada wa magwanda maalum yatakayotumika na wahudumu wa afya kujikinga na ugonjwa wa COVID 19 kutoka kwa bodi ya maswala ya dharura ya COVID 19 kwa ushirikiano na benki ya Equity.