Hospitali za kibinafsi zinalalamikia malipo

  • | Citizen TV
    256 views

    Mamlaka ya Bima ya Afya ya Jamii (SHA) imeingia lawamani baada ya kufichuliwa kuwa madai ya mabilioni ya shilingi hayajalipwa, hali inayotishia kufunga hospitali binafsi na za kidini ambazo huhudumia karibu nusu ya wagonjwa nchini