Hoteli ambayo sungura huenda kubembelezwa

  • | BBC Swahili
    314 views
    Tazama hoteli hii ambayo sungura hupelekwa kupewa huduma za matunzo pale wamiliki wao wanapokuwa wametoka nje ya mji wa Chicago Katika hoteli hiyo Sungura huwekwa kwenye vibanda vyenye mazulia ya kifahari, hupewa huduma ya masaji, vyakula bora na hata kusomewa hadithi wakati wa kulala. #bbcswahili #chicago #marekani