Hoteli na kambi za watalii Masai Mara haziwezi kurejelea shughuli

  • | Citizen TV
    5,195 views

    Kiwango cha hasara kilichosababishwa na mafuriko kwenye mbuga ya wanyama ya Masai Mara sasa kimedhihirika. Mafuriko yaliyosambaa katika kambi za watalii na hoteli zilizoko karibu na mto talek yamewaacha wenye hoteli hizo wakikadiria hasara na uharibifu mkubwa wa mali. Wahudumu hao wanasema itachukua miezi kadhaa kabla ya hali ya kawaida kurejea