Houthi wa Yemen wazamisha meli ya pili Bahari ya shamu

  • | BBC Swahili
    9,402 views
    Shughuli za uokoaji zinaendelea katika bahari ya shamu baada ya kundi la Houthi Yemen kushambulia na kulipua meli ya pili ya mizigo Magic Seas. Mapema juma hili wapiganaji hao waliteka na kuzamisha meli kubwa ya mizigo Eternity C kwa madai kuwa ilikuwa ikipeleka mizigo Israel. @lizzymasinga ametuandalia taarifa hii. #bbcswahili #yemen #houthi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw