Huduma bora zaidi? Weego wafanya maboresho

  • | Citizen TV
    273 views

    Kampuni ya taxi ya mtandao ya weego inaongeza juhudi za kushirikiana na madereva ili kuhakikisha utoaji wa huduma bora na kujenga ushirikiano thabiti na watumiaji wake.