Huduma Kwa Taifa: Omar Abdi Shurie azindua wasifu wake “Beyond call of Duty”

  • | KBC Video
    129 views

    Serikali imesema itashirikiana na maafisa wa usalama waliostaafu ambao wana ujuzi na uzoefu wa kukabiliana na wahalifu. Hayo yalisemwa kwenye hafla ya uzinduzi wa kitabu cha aliyekuwa naibu inspecta jenerali wa polisi, Omar Abdi Shurie kwa jina“Beyond call of Duty” iliyohudhiriwa na maafisa wa usalama waliostaafu. Katibu katika wizara ya usalama wa kitaifa Dkt Raymond Omollo, ambaye alikuwa mgeni mheshimiwa alisema serikali itashirikiana na maafisa hao katika ukusanyaji taarifa za kijasusi huku akiwahimiza wazidi kuwa wazelendo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive