- 185 viewsDuration: 1:51Katika ziara ya ghafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika zaidi ya nyumba 30 za wazee eneo la Tharaka, iliyoandaliwa na shirika la Bheco Home Care, ilibainika kuwa wazee wengi wanaishi katika hali ya kusikitisha bila chakula, huduma za msingi wala uangalizi.