Huduma za matibabu katika hospitali ya Makadara zarejelewa baada ya madaktari kusitisha mgomo wao

  • | Citizen TV
    185 views

    Huduma za matibabu katika hospitali ya Makadara kaunti ya mombasa zimerejelewa baada ya madaktari kusitisha mgomo hapo jana. Hali hiyo ni afueni pia kwa wakaazi ambao wamekuwa wakitaabika kwa muda mrefu na wengine kulazimika kutafuta matibabu katika hospitali za kibinafsi au kusalia nyumbani. Tunaungana naye Francis Mtalaki mubashara akiwa katika hospitali hiyo.