Huduma za mochari zarejelewa Isiolo

  • | Citizen TV
    232 views

    Huduma za mochari katika hospitali ya rufaa ya isiolo zimerejelewa miezi sita baada ya makafani kufungwa.