Huduma za SHA zasitishwa hospitali 40 nchini

  • | Citizen TV
    964 views

    Huduma za malipo ya SHA zimesitishwa katika hospitali 40 nchini. Waziri wa afya Aden Duale amechukua hatua hiyo kufuatia madai kuwa hospitali hizo zinahusishwa na utapeli wa malipo ya SHA. Aidha wahudumu wa afya 12 wakiwemo madaktari wanane wameamrishwa kusitishahuduma zao uchunguzi ukiendelea.