Baraza la magavana lasema UHC ina wafanyakazi hewa

  • | Citizen TV
    80 views

    Huenda Kenya inapoteza mabilioni ya fedha kupitia mpango wa afya kwa wote wa UHC kufuatia madai ya kuwepo wa maelfu ya wafanyakazi hewa wanaolipwa mishahara.