Hujafa hujaumbika | Changamoto ya ulemavu

  • | K24 Video
    Watu waliozaliwa na ulemavu  wakati mwingine huchukuliwa kama mzigo kwa jamii na  wengine huwa vitegauchumi kwa kupelekwa mijini  na kufanywa omba omba. Ila wapo watu waliojitolea kukabiliana na Maisha katika hali waliyo. Mmoja wao ni Betty Chepchumba mkaazi wa kaunti ya Uasin Gishu aliyezaliwa bila ya uwezo wa kusikia. Mwanahabri wetu alimtembelea Jepchumba ambaye ameazimia kuhamasisha jamii kuhusu uwezo wa wenye kasoro za kimaumbile na kuandaa taarifa hii.