Hukumu dhidi ya Jowie yaibua maswali mengi kisheria

  • | Citizen TV
    6,173 views

    Hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Joseph Jowie Irungu imekamilisha kesi iliyogonga vichwa vya habari tangu mwaka wa 2018. Hata hivyo, hukumu ya kifo iliyotolewa na Jaji Grace Nzioka imeibua maswali mengi miongoni mwa wakenya, ikikumbukwa kuwa mahakama ya upeo mwaka wa 2017 ilitoa uamuzi kuwa hukumu ya kifo ni ukiukaji wa haki