Hulka adimu za jenerali Ogolla: Marehemu alidhihirisha unyenyekevu wa hali ya juu

  • | KBC Video
    48 views

    Marehemu Jenerali Francis Ogolla ametajwa kuwa mtu mnyenyekevu sana aliyekubali makosa yake na kufanya mzaha licha ya kuwa mkuu wa majeshi. Rais William Ruto, naibu wake Rigathi Gachagua na kinara wa Azimio Raila Odinga wote walitoa simulizi za jinsi walivyotangamana na shujaa huyo, wote wakitoa taswira ya mtu ambaye Wakenya wengi hawakuijua. Gichuki Wachira na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive