Huyu ndiye kijana anayetumiataka kutengeneza redio

  • | BBC Swahili
    Stevin Mkundi hukusanya takataka za kielekctroniki ili kutengeneza bidhaa mpya kabisa. Soko lake sasa limepamba moto. Fuatilia simulizi hii fupi.