Huyu ndiye mwalimu mdogo zaidi wa yoga duniani

  • | BBC Swahili
    558 views
    Akiwa na umri wa miaka tisa na siku 220, mvulana wa Kihindi ameweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kuwa mwalimu wa yoga mwenye umri mdogo zaidi duniani. Reyansh Surani, anayeishi Dubai na familia yake, alianza kufanya mazoezi ya yoga na wazazi wake alipokuwa na umri wa miaka minne tu. #yoga #talanta #guinessworldrecord