Huyu ni Mwanamke aliyenusurika katika ajali ya ndege Bukoba

  • | BBC Swahili
    59,747 views
    “Alisema anaendelea kuangalia jinsi ya kuweza kushuka, naona iliposhindikana alishindwa kuongea lolote baadae tukasikia kishindo” Eva Mcharo Aliyenusurika Ajali ya Ndege Bukoba anaelezea namna hali ilivyokuwa wakati ajali inatokea na namna walivyoweza kuokolewa. #bbcswahili #tanzania #precisionair